“Sijawahi kuona Bunge linapelekwa na Serikali kama hili”–Halima Mdee
Wabunge walikuwa wakijadili Muswada wa sheria ya kulitangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka 2018 (The Dodoma capit...
Wabunge walikuwa wakijadili Muswada wa sheria ya kulitangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka 2018 (The Dodoma capit...
Mbunge wa Ubungo , Saed Kubenea ni mmoja ya wabunge waliosimama leo bungeni kuchangia bajeti ya wizara ya madini kwa mwaka 2...
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mh.Mwita Waitara kupitia Chama Cha Demokrasia na maendeleo( CHADEMA ) Leo May 25 2018 wakati alipokuwa akichang...
Spika wa Bunge Job Ndugai May 24, amewataka Wizara ya Fedha kujitathmini au kueleza kinachokwamisha wao kushindwa kutoa malipo ya fed...
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara kw...
Dr Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ameunda kamati ya Wanasheria ambao wataanza kufuatilia makampuni yo...
Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Geita kupitia tiketi ya CHADEMA Upendo Peneza alisimama Bungeni Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo ...
Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kufikishwa katika kamati ya maadili Mwandishi wa Gazeti la Raia Mwema Pascal Mayala pamoja na wahar...
Dr Harrison Mwakyembe alisimama Bungeni kujibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Catherine Magege aliyehoji sababu za Serikali kufung...
Spika Job Ndugai amesema.... “ Nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunirudisha salama, Mwanadamu sio jiwe lazima apitie mapito. Nimerudi na sasa...
Mbunge wa viti maalum CCM Hawa Mchafu Chakoma ambaye ameishauri serikali kuanzisha namna bora ya kuanziasha mpango wa pensheni kwa wazee ...