Waziri Mkuu Majaliwa VS Upendo Peneza Bungeni kuhusu “TAULO”

Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Geita kupitia tiketi ya CHADEMA Upendo Peneza alisimama Bungeni Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu ambapo alihoji kwanini Serikali isiondoekodi kwenye taulo za kujihifadhi wanawake kipindi cha hedhi ili kuwaondolea vikwazo wakiwa shuleni.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akamjibu kwa kwamba Serikali inao utaratibu wake katika kuondoa kodi za bidhaa hata hivyo itakaa na kuangalia namna bora ya kufanya ili kuwasaidia watoto hao haswa za vijijini.

No comments

Powered by Blogger.