“Msifikiri mtakuwa salama, tutawachukulia hatua” –Halima Mdee
Mbunge wa kawe Halima Mdee amehoji sababu za Serikali kuwekeza zaidi ya Shilingi Trilion moja kuwekeza kwenye mradi wa usafiri wa ndege huku shirika hilo likikosa wataalamu wa kuliendesha na kusababisha kudhoofu kwa shirika hilo wakati pesa hizo zingewekezwa kwenye sekta ya kilimo.
“Hivi inaingia akili timamu kwenye sekta ya kilimo ambayo inaajiri zaidi ya asilimia 75 ya watanzania tumeweka bajeti ya Bilioni 11 wakati kwenye ndege ambapo pesa hizo tunauhakika tunaenda kuzimwaga chini tumeweka Trilion moja” –Halima Mdee
No comments