“Naagiza hawa wote wafikishwe kwenye kamati ya maadili” –Spika Ndugai+Video

 Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kufikishwa katika kamati ya maadili Mwandishi wa Gazeti la Raia Mwema Pascal Mayala pamoja na wahariri wa gazeti hilo kwa kosa la kulikashifu bunge katika andiko lake April 9, 2018

Baadhi ya Wabunge ni wasiojielewa na hawajui wameenda kufanya nini Bungeni zaidi ya kujipendekeza kwa Serikali-Spika Ndugai 

 

No comments

Powered by Blogger.