“Hii ni ajabu, tunakaa kujadili watoto kutelekezwa?”- Mbunge Selasini

Mbunge wa Rombo Joseph Selasini ameliomba Bunge na Serikali kwa ujumla kuacha kujadili mambo madogo yasiyokuwa na msaada kwa taifa

Sasa hivi bajeti inajadiliwa katika nchi zote za Afrika Mashariki, Ukienda Kenya wanajadili kuhusu ajira kwa vijana na wakinamama, Ukienda Uganda wanajadili habari ya kilimo sisi tupo Bunge tunajadili habari za kutelekezwa kwa watoto.  Akili zetu tumezikona kwenye kujadili vitu vidogovidogo badala ya kujadili ishu kubwa za kuisaidia nchi yetu-Selasini

No comments

Powered by Blogger.