“Huyu Nondo ana umaarufu gani? Hii sio sawa” –Mbunge Shabiby

Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby amehoji sababu ya Serikali ikiwemo idara ya uhamiaji nchini kushindwa kutimiza wajibu wao kwa kuchunguza uhalali wa uraia wa watu wake

– Ahmed Shabiby amesema...Mfano kama huyu kijana Abdul Nondo ana umaarufu gani mpaka mumuite kwa kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kujua uraia wake? Hii ni kuichafua Serikali

No comments

Powered by Blogger.