Zawadi ya Irene Uwoya kwa mume wake Dogo Janja

Irene Uwoya azidi kuonyesha mapenzi kwa mume wake Dogo Janja baada ya kuamua kuchora tattoo katika mwili wake nakuandika Abdul ambalo ni jina halisi la mume wake Dogo Janja.
Kupitia instagram account ya Dogo Janja amelithibitisha hilo kwa kupost picha ya bega la Irene Uwoya mahali ambapo ndio amechora tattoo yenye jina la Abdul,
Dogo Janja ameandika>>>“Ahsante Mke Wangu❤️ Nichore Nakule Ninapopaonaga mimi tu🤦🏻‍♂️👌🏻 @ireneuwoya8 Love U❤️ #MyNameOnHerShoulder #MrsAbdul ☺️

No comments

Powered by Blogger.