“Tutaendelea kufungia nyimbo za wasanii” –Waziri Mwakyembe

Dr Harrison Mwakyembe alisimama Bungeni kujibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Catherine Magege aliyehoji sababu za Serikali kufungia nyimbo za wasanii.

Kama Serikali hatuna shida na wasanii wetu, lengo letu ni kulinda maadili, kila taifa lina maadili yake na ndio maana hata wakina Rick Ross na  Wizkid wanafungiwa kazi zao, sisi tunalalamika kufungiwa kwa nyimbo mbili? Tutaendelea kuwafungia ili kulinda utamaduni wetu - Dr Harrison Mwakyembe

 

No comments

Powered by Blogger.