"tunawajibika kulinda usalama,Hili hatutalivumilia” –Waziri Nchemba

Dr Mwigulu Nchemba alisimama Bungeni Dodoma kujibu baadhi ya hoja za Wabunge ambapo  miongoni mwa aliyoyaelezea hoja ya Wabunge waliotaka mutua sababu za Serikali kutumia Askari Wengi katika vipindi vya uchaguzi

Sisi kama Jeshi la Polisi hatupendi kuona wananchi wakiumizana kwenye masuala ya uchaguzi, ni aibu sana kwa nchi yenye vyama vingi vya siasa kutokea vurugu katika kipindi cha uchaguzi. Hatutavumilia kuona watu wakikatana mapanga na tutashughulika na kila atakayehusika-Dr Mwigulu Nchemba

 

No comments

Powered by Blogger.