Serikali yatoa Majibu Kuhusu nembo ya Taifa
Naibu Waziri wa Kazi,
Vijana na Ajira Anthony Mavunde amelieleza bunge kuhusu tuhuma za baadhi
ya wabunge kuhoji uhalali wa Serikali kutumia nembo ya taifa
“Yamesemwa maneno kwamba nembo yetu haiakisi muonekano wa kitanzania kwamadai kwamba mwanamke aliyepo amevaa wigi, sio kweli kwamba haiakisi nah ii ni moja ya alama ya taifa”-Mavunde

No comments