‘Viongozi wanapokuja Bandarini, hawaji kutafuta skendo’ – TPA

Mkurugenzi wa TPA Eng. Deusdedit Kakoko amezungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya kutimiza miaka 13 ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ambapo ameongelea suala la kutembelewa mara kwa mara na viongozi.
 
”Hawaji hapa mara kwa mara kama wengine wanavyodhani kuja kukaripia au kutengeneza skendo, bali wanakuja kwa sababu ya umuhimu wa Bandari” Eng. Kakoko

 

No comments

Powered by Blogger.