Spika Ndugai>>>“Siwaombei mpitie katika machungu haya ya ugonjwa ”
Spika Job Ndugai amesema....“Nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunirudisha salama, Mwanadamu sio jiwe lazima apitie mapito. Nimerudi na sasa tupo pamoja. Baadhi
yenu labda hamjawahi kulazwa hospitali mkiwa mnaumwa sana alafu
unanakuwa kama upo peke yako kidogo na kuna dalili zinakuwa zinaonesha
kama kesho inaweza isikuche hivi….! Ina raha yake na tabu yake kidogo,
nawaombea msipate machungu haya”
No comments