‘Maamuzi sahihi Uambatana na Takwimu sahihi’>>>MRADI WA DMDP

Selemani Jafo amezungumzia mradi wa maendeleo ya uboreshaji Jiji la Dar es salaam Mradi unaogharimu takribani Tsh Bilion 660.
 
“Tunawashukuru sana watu wa World Bank kwa kutuamini Watanzania na hii ni kutokana na muenendo mzuri wa Serikali yetu, Serikali yetu iwekeza BILIONI 25 kwa ajili ya fidia kwa Wananchi, mradi huu utabadilisha Jiji la DSM” -Waziri Jafo

No comments

Powered by Blogger.