Magoli ya Yanga ilivyoifunga 2-0 Waloitta ya Ethiopia leo
Yanga wakiwa nyumbani watimiza matarajio ya wengi ya kupata ushindi
dhidi ya Wolaitta ambao wanaonekana wageni katika michuano hii na ndio
mara yao ya kwanza kushiriki hatua hii, kitu ambacho kimeisaidia Yanga
kupata ushindi wa magoli 2-0 ambayo yamefungwa na Rafael Daudi dakika
ya 1 na Emmanuel Martin dakika ya 54.
No comments