‘Mtu anapigwa tu! anagumia!’>>>Spika Ndugai
Spika wa Bunge Job Ndugai May 24,
amewataka Wizara ya Fedha kujitathmini au kueleza kinachokwamisha wao
kushindwa kutoa malipo ya fedha za korosho kwa wananchi ambazo ni za
kwao.
“Mtu analaumiwa wala sio mkosaji Wizara ya fedha kuna mambo yanaendelea huko sasa sisi tunakuwa hatujui tunawaona nyie wabaya, kwa nini ukae na hela mtu anakuomba, anakulambalamba na hela ni yake, ebu mjitathmini”-Spika Ndugai

No comments