January Makamba amebuni njia mbadala kupitia Viongozi wa Dini

 January Makamba Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ameandaa mjadala wa Kitaifa kuhusu nafasi ya Dini na uhifadhi wa mazingira utaohusisha Viongozi wa Dini, Wananchi na Viongozi wa Serikali 

Makamba amesema kuwa... “Itakuwa ni mjadala wa Kitaifa kuhusu nafasi ya Dini na uhifadhi wa mazingira, tumealika Maaskofu wa dini zote, Waislam pia, sisi tunaamini Watanzania wote tunamuamini Mungu ndo mana tumeona tuwatumie Viongozi wa dini kuelimisha”
 

No comments

Powered by Blogger.