fedha hizi zinapatikana lini',Makinikia -Mbunge Kubenea
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ni mmoja ya wabunge waliosimama leo
bungeni kuchangia bajeti ya wizara ya madini kwa mwaka 2018/19 ambapo
amehoji kuwa katika kitabu cha waziri na cha kamati hakuna sehemu
imeeleza kuhusu suala la Makinikia kwa ufasaha hasa mazungugumzo
yanayoyoendelea kati ya Serikali.
No comments