Baada ya tetesi za siku kadhaa juu ya nyota wawili wa Yanga SC, Kelvin Yondani na Papy Tshishimbi kujiunga na mahasimu wao, Simba SC. Hatimaye uongozi wa Simba SC umeweka hadharani ukweli wa mambo.
No comments