SAFARI YA FAINALI ya Mtibwa Sugar v Singida United zilipita huku
Tazama mabao yaliyofungwa kwenye mechi mbalimbali za ASFC ambazo
washiriki wa fainali, Mtibwa Sugar na Singida United zilipitia hadi
kufikia fainali.
Mabao makali, udambwidambwi na mengine kibao!
No comments