Naibu Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo, amewapa muda wa
mwezi mmoja wakandarasi wanaojenga zahanati na vituo vya afya mkoani
Dodoma, kuhakikisha wanakamilisha kazi walizopewa ifikapo mwisho wa
mwezi huu na ambao watashindwa kufanya hivyo, watachukuliwa hatua za
kisheria.
No comments