Breaking News-Zidane ametangaza maamuzi magumu leo
Baada ya kuifundisha club ya Real Madrid ya Hispania kwa mafanikio akiwa
kama kocha mkuu wa club hiyo Zinedine Zidane leo ametangaza maamuzi
yaliowashitua wengi kuhusiana na hatima yake ndani ya club hiyo.
Zidane ambaye amewahi kuichezea Real Madrid kwa miaka mitano (2001-2006) kama mchezaji leo ametangaza kujiuzulu, Zidane aliapata nafasi ya kuwa kocha wa Real Madrid katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2016 akitokea timu ya Real Madrid ya wachezaji wa akiba (Real Madrid Castilla)

No comments