Zari kujenga kliniki ya wanawake

Kupitia ukurasa wa instagram wa Zari ameandika “Wapendwa wangu Sina cha kuwalipa zaidi ya kusema ASANTENI sana kwa 4M followers. ninyi ni ndugu kwangu, mmekua nami bega kwa bega kwenye shida na raha”
“Sasa Mnichiangieni $1 kila mtu tujenge clinic ya wanawake sehemu yoyote dar, Najua tukiipata Baba Magufuli atatupa kiwanja….ππ #JustSayingPENDA SANA NYINYI.❤THANK YOU SO MUCH FOR 4M. LOVE YOU ALLπΉ”

No comments