DStv wanakuambia “Kama Sio DStv Potezea”!

Kampuni ya MultiChoice Tanzania (DStv)  imetangaza neema kwa Watanzania kwa kutoa ofa maalum kwa wateja wapya.
 
Sasa wataweza kujiunga na DStv kwa shilingi 79,000 tu na kupata seti ya DStv pamoja na kifurushi cha miezi miwili bure kitakachowawezesha kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia LIVE mechi zote 64  kupitia chaneli sita (6) maalum zilizotengwa kwa ajili ya FIFA Kombe la Dunia 2018 tena katika muonekano angavu yani ni HD.

wateja  wa DStv, wataweza kupokea matangazo ya moja kwa moja kwa lugha ya Kiswahili ambapo tuna timu ya watangazaji mahiri wa soka hapa nchini watakaowaletea watanzania burudani hii.

Kwa wale wateja ambao tayari wamekwisha jiunga na DStv, wajiandae kufurahia mashindano ya Kombe la Dunia yatakayorushwa LIVE mechi zote 64 kuanzia kifurushi Bomba kwa sh.19, 000 tu!

DStv wanakuambia “Kama Sio DStv Potezea”!  

No comments

Powered by Blogger.