“Sijawahi kuona Bunge linapelekwa na Serikali kama hili”–Halima Mdee
Wabunge walikuwa wakijadili Muswada wa
sheria ya kulitangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka
2018 (The Dodoma capital city Declaration Bill 2018) ambapo miongoni mwa
waliopata nafasi ya kuchangia ni pamoja na Mbunge wa Kawe Halima Mdee
ambaye amekosoa taratibu zilizotumika na Serikali katika kutekeleza
mapendekezo hayo.
No comments