Mwanamitindo Hamisa Mobetto amechukua tena headlines baada ya kupostiwa na mpenzi wa zamani wa rappa Rick Ross kutokea Marekani Lira Mercer na kuandika maneno yanayoashiria kuwa wanauhusiano wa karibu na watakutana hivi karibuni Marekani.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Liraameandika “Mwanangu Hamisa Mobetto anakuja kutembea Marekani hivi karibuni #AfrikaMashariki” Baada ya mudaHamisa Mobettoalimjibu na kusema “Nina shahuku mpenzi “
Hamisa Mobetto na yeye alimpost mwanadada huyo kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika “Siwezi kusubiri kukuona “
No comments