Mbunge wa Serengeti Chacha Marwa amesema yupo tayari kuacha ubunge
September 6, 2018 Mbunge wa Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA Marwa Ryoba amesema yupo tayari kuacha ubunge ili awape wananchi waliomchagua barabara ya lami.
Akizungumza katika ziara ya Rais John Magufuli wilayani Serengeti, Ryoba amesema wilaya hiyo haijanufaika na Hifadhi ya Serengeti kutokana na kukosekana kwa barabara ya lami.
Akizungumza katika ziara ya Rais John Magufuli wilayani Serengeti, Ryoba amesema wilaya hiyo haijanufaika na Hifadhi ya Serengeti kutokana na kukosekana kwa barabara ya lami.
No comments