“Tunaanza na kesi ya Mzee Majuto, tumechoka sasa” –Waziri Mwakyembe


Dr  Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ameunda kamati ya Wanasheria ambao wataanza kufuatilia makampuni yote yaliyoingia mikataba ya kazi na msanii King Majuto pamoja na wasanii wengine wote wa Tanzania akiwemo Steven Kanumba ili kubaini kama kuna mazingira ya kuonewa kulipwa familia zao

 

No comments

Powered by Blogger.