Mapokezi ya Rais wa FIFA Tanzania kuanzia kwenye ndege +VIDEO


Rais wa shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA Gianni Infantino akiongozana na Rais wa shirikisho la soka Afrika CAF Ahmad Ahmad waliwasili Dar es Salaam Tanzania kwa ajili ya mkutano wa FIFA utakaofanyika nchini Tanzania February 22 2018. 

Infantino ndio amewasili kwa mara ya kwanza Tanzania toka awe Rais wa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA na amepokelewa na viongozi mbalimbali wakiwemo waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo DR Harrison Mwakyembe na mwenyekiti wa baraza la michezo taifa Leodger Tenga na Rais wa TFF Wallace Karia.

 

No comments

Powered by Blogger.