FUNGA MWAKA 2018:Nandy awajengea nyumba Wazazi wake

Msanii wa Bongo Fleva Nandy ‘The African Princess” amekuja na hii kabla ya kuukaribisha mwaka 2019 ambapo amewajengea wazazi wake nyumba.

Kwa mujibu wa Nandy ameeleza kuwa imemchukua takribani mwaka mzima kukamilisha mjengo huo tokea mwaka 2017 mpaka mwishoni mwa mwaka 2018, inaelezwa kuwa mjengo huo upo hapa hapa jijini Dar Es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.