wimbo ambao Staa wa Bongofleva,Leo July 14, 2018Nandy The African Princess ameshirikishwa na Mkali Lomodo aliyetamba na ngoma ya ‘NAFUU’ aliyomshirikisha Barakah the Prince ambayo imefanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio, TV. Ngoma nayokupa leo inaitwa‘Sina Ujanja’imetayarishwa na Producer Bonga ndani Better Sound, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama
No comments