Sharon Hedlam alivyopokea Taji la Miss Mwanza 2018

  Mashindano ya kumpata mrembo wa Jiji la Mwanza 2018 yamefanyika usiku wa July 06, Rock City Mall, ambapo mrembo Sharon Headlam amekuwa mshindi wa kwanza na ndio atayeiwakilisha Mwanza kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2018.

 

No comments

Powered by Blogger.