Mwanamke wa kwanza Muislamu ngazi za juu katika jeshi la Kenya
Mwanamke wa kwanza mwenye imani ya kiislamu ameapishwa kuongoza kama Jenerali katika jeshi. Fatuma Ahmed ameapishwa Ijumaa kuongoza katika wadhifa huo katika jeshi la Kenya.
Katika hafla ya kuapishwa kwa Fatuma Ahmed, rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa Fatuma ni mwanamke wa kwanza Muislamu katika cheo hicho na ni miongoni mwa mfano ya kuingwa na wanawake wengine nchini Kenya.

No comments