Msanii Wini ambaye jina lake halikuwa maarufu kama sauti yake ambayo ilisikika kwenye wimbo wa ‘Nishike Mkono’ wa msanii Darassa, amekuja na wimbo wake mpya ambao unaitwa ‘Take Me Higher’ wimbo ambao Audio na video zimetayarishwa nchini Dubai.
No comments