Nandy na Aslay wameungana kwa pamoja kunogesha usiku wa kumtafuta mrembo aliyewania taji la Miss Mwanza usiku wa July 6, pale Rock City Mall, mrembo Sharon Headlam ndio ameibuka mshindi kati ya warembo 14 waliowania taji la Miss Mwanza
No comments