“TFDA isiwe chanzo cha vikwazo katika juhudi za Magufuli"

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema haya leo july 6 2018 wakati wa kukabidhi vyeti vya ithibati kwa kiwango cha kimataifa ISO 17025 kwa maabara ya chakula na maikrobailojia za TFDA
“TFDA isiwe kikwazo kwa wawekezaji nchini hususan viwanda vya kuzalisha dawa ili kuunga mkono juhudi za Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ya kuelekea uchumi wa viwanda.” amesema Waziri Ummy
No comments