Walichoandika Mastaa kuhusiana na taarifa za ugonjwa wa Ommy Dimpoz

Kupitia kurasa za instagram za mastaa mbalimbali Tanzania wameandika caption kumtakia kheri Ommy Dimpoz ili apone na arudi kwenye hali yake ya kawaida.
“Inshaallah! Mwenyez Mungu akufanyie wepesi, uweze pona haraka na Kurudi kuendelea na sanaa ili pamoja tuzidi peleka Mziki wetu Mbali zaidi”- Diamond Platnumz

“Get Well Soon Brother @ommydimpoz Mungu Akupe Afya Kama Zamani Urudi Kwenye Kazi Zako Ukiwa Fit. Tunakuombea🙏🏿🙏🏿”- Nay Wa Mitego

No comments