Ray afunguka wasanii kutotumika 2020 kwenye kampeni
Kama utakuwa unakumbuka vizuri mwaka 2015 wasanii wa Filamu na
Bongofleva walitumika katika kampeni za kisiasa kupitia Chama Cha
Mapinduzi CCM lakini hivi karibuni Katibu mkuu wa CCM DR Bashiru alitangaza kuwa CCM haitowatumia tena wasanii katika kampeni 2020.
Baada ya kusema hivyo leo katika msanii wa Filamu Ray Kigosi ambaye ni moja kati ya wasanii walioipigia kampeni CCM mwaka 2015, yeye vipi amelipokeaje hilo wazo la Dr Bashiru kuwa hawatowatumia tena wasanii katika kampeni 2020.
No comments