Mpango wa RC Makonda kuhusu Utapeli, dhuluma kwenye hati za nyumba

Makonda amewataka watu wa Benki kuhakikisha wanafanya uchunguzi na kujiridhisha kabla ya kutoa mkopo baada ya kuibuka kwa utapeli wa watu kutumia hati za watu na kuchukuwa mkopo pasipo muhusika kujua jambo linalopelekea nyumba na mali za watu kupigwa mnada na kuacha familia zikikosa makazi.
No comments