“Hadi nywele mnataka kunipangia”>>> Vanessa Mdee na mashabiki


Baada ya Vanessa Mdee kuonyesha muonekano wake mpya wa nywele kwa kupaka rangi ya orange kichwani comments ambazo zimekuwa zikiendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kuwa hajapendeza kufanya hivyo. 


kupitia mtandao wa instagram wa Vanessa Mdee ameonekana kuwa ameachwa dilemma na kile ambacho mashabiki wanataka kutoka kwakwe kutokana na kila style ya nywele anayoifanya inakosolewa. 


No comments

Powered by Blogger.