Polepole kushusha mapato Kigoma Mkurugenzi kafunguka

Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma imeshindwa kufikia lengo la kukusanya mapato ya Shilingi Milioni 200.8 kwa mwezi kutokana na utendaji mbovu wa Watendaji wa Manispaa hiyo kushindwa kusimamia vyema ukusanyaji huo.

Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Mwailwa Pangani amesema licha ya Manispaa hiyo kushindwa kufikia lengo hilo lakini kila mwezi mapato yamekuwa yakiongezeka na kuahidi kufikia lengo hilo hivi karibuni.

No comments

Powered by Blogger.