Floyd Mayweather alivyovuna zaidi ya Tsh Bilioni 20 kwa dakika 3(+video)

Mayweather katika pambano hilo alilompiga Nasukawa lilikuwa na round tatu na hakuna Ubingwa na ushindi wa Mayweather ulipatikana round ya kwanza kwa KO, imeripotiwa kuwa Mayweather kupanda ulingoni alitakiwa kulipwa Dola milioni 9 za kimarekani ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 20 za kitanzania hivyo Mayweather unaweza kusema amevuna pesa hizo ndani ya dakika 3.
No comments