Tabu wanayokutuna nayo Wasafiri stendi Ubungo
kutokea Kituo cha Mabasi yaendayo mkoani Ubungo, ambapo
kumekuwa na changamoto ya usafiri hasa abiria waendao mikoani ambapo
wengi wao wakionekana wamekaa ndani ya kituo hicho wakisubiri usafiri
kwa muda mrefu.
abiria wakiwa katika hali ya kukata tamaa kutokana na changamoto hiyo ambapo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara katika kipindi cha mwisho wa mwakana msimu wa Sikukuu.
Kutokana na changamoto hizi mara kadhaa serikali kupitia mamlaka husika imekuwa ikifanya jitihada ili kuhakikisha suala hilo linapatiwa ufumbuzi ikiwemo kutumia usafiri wa Daladala endapo ukikidhi viwango.

No comments