Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Engineer Atashasta Nditiye amefanya ziara katika stendi ya mabasi ya Ubungo kwa ajili ya kujionea hali ya abiri na mabasi yanayosafirisha abiria.
No comments