Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amefanya ziara yake ya kikazi mkoa wa Mara, ilikuwa zamu ya Tarime mjini Jimboni kwa Mbunge Ester Matiko
Mbunge Ester Matiko
alipata nafasi ya kuwahutubia Wananchi wake ambapo alimwomba Rais
Magufuli kuwasaidia kuhakikisha maji yanafika katika Jimbo hilo la
Tarime
No comments