JPM Magufuli kafuta machozi ya Mama asiyeona, DC chupuchupu atumbuliwe
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa
Wizara, Mikoa na Wilaya kuhakikisha kero na malalamiko wananchi wanyonge
yanatafutiwa ufumbuzi haraka badala ya kuwaacha wakipigwa danadana.
Rais Magufuli ametoa maagizo hayo leo wakati akizungumza na wananchi akiwa njiani kutoka Mugumu kwenda Tarime katika eneo la daraja la mto Mara Wilayani Serengeti na Nyamongo, Nyamwaga na Tarime Mjini Wilayani Tarime ambako ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Mara.
"Nimemtumbua Mkurugenzi TAKUKURU, ana madhambi mengi, mpaka kichwa kinauma"

No comments