Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameagiza makontena 20 ya samani yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda yapigwe mnada.
Waziri Mpango ameongeza kuwa hajali vitisho vya mwanasiasa huyo na kuapa kusimamia sheria na kanuni za kodi.
No comments