Zitto Kabwe awatolea povu wanaowasimanga wahudumu wa ndege wa ATCL

Zitto kupitia Facebook akaunti yake ameandika hivi na nukuu “Dada zetu wanaofanya kazi Shirika letu la ndege wamekuwa wakifanywa kichekesho mtandaoni. Hawa ni Wanawake Watanzania wenzetu wapo kazini. Kusambaza picha zao na kuwacheka sio uungwana na ni ukandamizwaji kijinsia.”
No comments