Alfajiri ya August 1, mwanamuziki Alikiba amemuozesha dada yake Zabibu Kiba kwa mchezaji wa zamani wa Simba SC na kwa sasa anachezea timu ya Baroka FC ya South Africa anayefahamika kwa jina la Abdi Banda na ndoa imefungwa katika msikiti wa Sanene Tabata, DSM.
Maneno ya Alikiba kwa mkewe Amina kwenye harusi ya Zabibu Kiba
No comments