Kauli ya Jerry Muro baada ya Rais Magufuli kumteua kuwa mkuu wa wilaya

Baada ya Rais John Magufuli kufanya mabadiliko madogo ya baadhi ya Viongozi ikiwemo Wakuu wa Wilaya na Mikoa pamoja na Makatibu Wakuu, AyoTV imepata nafasi ya kufanya mahojiano na Mwandishi wa Habari Jerry Muro alieteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru

No comments

Powered by Blogger.