August 16, 2018 Mwanamitindo Hamissa Mobetto amepata shavu na kuingia mkataba wa mwaka mmoja wa kuwa Balozi wa kiwanda kinachotengeneza nywele (rasta) cha Prima Afro, kilichopo maeneo ya Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam.
No comments